Sumbangan 15 September 2024 – 1 Oktober 2024 Tentang pengumpulan dana

Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini

Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini

Shaaban Robert
Sukakah Anda buku ini?
Bagaimana kualitas file yang diunduh?
Unduh buku untuk menilai kualitasnya
Bagaimana kualitas file yang diunduh?
Kwa zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania. Sababu ya kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kigeni jambo, lililosabishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa vitabu vya Sheikh Shaaban Robert katika miaka hiyo ni kwamba Watanzania wengi hasa wale wenye umri chini ya miaka thelathini, hawamjui mwandishi huyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake ambayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa utajiri wa urithi wa utamaduni wetu.
Kwa kuvichapisha vitabu vya Marehemeu Sheikh Shaaban Robert tunawakaribisha tena Watanzania, hasa vijana kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu.
Tahun:
2003
Edisi:
3
Penerbit:
Mkuki na Nyota Publishers
Bahasa:
kikuyu
ISBN 10:
9976973160
ISBN 13:
9789976973167
File:
PDF, 16.80 MB
IPFS:
CID , CID Blake2b
kikuyu, 2003
Membaca daring
Pengubahan menjadi sedang diproses
Pengubahan menjadi gagal

Istilah kunci